Isaya 40:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 ndiye awatanguaye wakuu, na kuwabatilisha waamuzi wa dunia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Yeye huwaporomosha wakuu wenye nguvu, watawala wa dunia huwafanya kuwa si kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Yeye huwaporomosha wakuu wenye nguvu, watawala wa dunia huwafanya kuwa si kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Yeye huwaporomosha wakuu wenye nguvu, watawala wa dunia huwafanya kuwa si kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Huwafanya wakuu kuwa si kitu, na kuwashusha watawala wa dunia hii kuwa kitu bure. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Huwafanya wakuu kuwa si kitu, na kuwashusha watawala wa dunia hii kuwa kitu bure. Tazama sura |