Isaya 40:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Mataifa yote huwa kama si kitu mbele zake; huhesabiwa kwake kuwa duni kabisa na batili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mataifa yote si kitu mbele yake; kwake ni vitu duni kabisa na batili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mataifa yote si kitu mbele yake; kwake ni vitu duni kabisa na batili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mataifa yote si kitu mbele yake; kwake ni vitu duni kabisa na batili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Mbele yake mataifa yote ni kama si kitu, yanaonekana yasio na thamani na zaidi ya bure kabisa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Mbele yake mataifa yote ni kama si kitu, yanaonekana yasio na thamani na zaidi ya bure kabisa. Tazama sura |