Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 40:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Ni nani aliyemwongoza Roho ya BWANA, na kumfundisha kwa kuwa mshauri wake?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Mwenyezi Mungu, au kumfundisha akiwa kama mshauri wake?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya bwana, au kumfundisha akiwa kama mshauri wake?

Tazama sura Nakili




Isaya 40:13
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.


Je! Mtu awaye yote atamfundisha Mungu maarifa? Naye ndiye awahukumuye walioko juu.


Na nitazamapo, hapana mtu, hata katika watu hao hapana mshauri mmoja, ambaye, nikimwuliza, aweza kunijibu neno.


Maana, ni nani aliyesimama katika baraza la BWANA, hata akalifahamu neno lake na kulisikia? Ni nani aliyelitia moyoni neno langu, na kulisikia?


Akasema, Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu, wala hakuna amjuaye Mwana ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana, na yeyote ambaye Mwana apenda kumfunulia.


waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.


Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake?


Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.


na ndani yake sisi nasi tulifanywa urithi, huku tukichaguliwa tangu awali sawasawa na kusudi lake yeye, ambaye hufanya mambo yote kwa shauri la mapenzi yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo