Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Isaya 38:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Tena Hezekia alikuwa amesema, Iko ishara gani ya kunionesha ya kuwa nitapanda niingie nyumbani mwa BWANA?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Hezekia akauliza, “Ni ishara gani itakayonijulisha kwamba mimi nitakwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Hezekia akauliza, “Ni ishara gani itakayonijulisha kwamba mimi nitakwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Hezekia akauliza, “Ni ishara gani itakayonijulisha kwamba mimi nitakwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Hezekia alikuwa ameuliza, “Kutakuwa na ishara gani kwamba nitapanda kwenda Hekalu la Mwenyezi Mungu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Hezekia alikuwa ameuliza, “Kutakuwa na ishara gani kwamba nitapanda kwenda Hekalu la bwana?”

Tazama sura Nakili




Isaya 38:22
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hezekia akamwambia Isaya, Je! Kutakuwa na ishara gani ya kwamba BWANA ataniponya, nami siku ya tatu nitapanda nyumbani kwa BWANA.


Nilifurahi waliponiambia, Twende nyumbani kwa BWANA.


Jambo hili liwe ishara kwako, itokayo kwa BWANA, ya kuwa BWANA atalitimiza jambo hili alilolisema;


Wakati huo Merodak-baladani, mwana wa Baladani, mfalme wa Babeli, alipeleka barua na zawadi kwa Hezekia; kwa maana amepata habari kwamba amekuwa mgonjwa, na kwamba amepona.


Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo