Isaya 38:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nilisema, Katika usitawi wa siku zangu nitakwenda kuingia malango ya kuzimu; Nimenyimwa mabaki ya miaka yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Nilisema: Nikiwa mbichi kabisa, inanibidi niage dunia. Mimi nimepangiwa kwenda kuzimu siku zote zilizonibakia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Nilisema: Nikiwa mbichi kabisa, inanibidi niage dunia. Mimi nimepangiwa kwenda kuzimu siku zote zilizonibakia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Nilisema: nikiwa mbichi kabisa, inanibidi niage dunia. Mimi nimepangiwa kwenda kuzimu siku zote zilizonibakia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu, je, ni lazima nipite katika malango ya mauti, na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu, je, ni lazima nipite katika malango ya mauti, na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?” Tazama sura |