Isaya 37:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 tamko alilolitamka BWANA katika habari zake ndilo hili; Bikira, binti Sayuni, anakudharau, anakudhihaki sana; binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake juu yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 basi huu ndio ujumbe wangu kuhusu huyo mfalme: Mji wa Siyoni, naam, Yerusalemu, unakudharau na kukutukana. Yerusalemu, mji mzuri unakutikisia kichwa kwa dhihaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 basi huu ndio ujumbe wangu kuhusu huyo mfalme: Mji wa Siyoni, naam, Yerusalemu, unakudharau na kukutukana. Yerusalemu, mji mzuri unakutikisia kichwa kwa dhihaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 basi huu ndio ujumbe wangu kuhusu huyo mfalme: Mji wa Siyoni, naam, Yerusalemu, unakudharau na kukutukana. Yerusalemu, mji mzuri unakutikisia kichwa kwa dhihaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 hili ndilo neno ambalo Mwenyezi Mungu amelisema dhidi yake: “Bikira Binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 hili ndilo neno ambalo bwana amelisema dhidi yake: “Bikira binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. Tazama sura |