Isaya 37:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Ni kweli, BWANA, wafalme wa Ashuru wameziharibu nchi zote, na mashamba yao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa yote na nchi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa yote na nchi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa yote na nchi zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 “Ni kweli, Ee Mwenyezi Mungu, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 “Ni kweli, Ee bwana, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao. Tazama sura |