Isaya 34:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Watu wao waliouawa watatupwa nje, na uvundo wa maiti zao utapaa juu, na milima itayeyushwa kwa damu yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Maiti zao zitatupwa nje; harufu ya maiti zao itasambaa; milima itatiririka damu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Maiti zao zitatupwa nje; harufu ya maiti zao itasambaa; milima itatiririka damu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Maiti zao zitatupwa nje; harufu ya maiti zao itasambaa; milima itatiririka damu yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Waliouawa watatupwa nje, maiti zao zitatoa uvundo, milima itatota kwa damu zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Waliouawa watatupwa nje, maiti zao zitatoa uvundo, milima itatota kwa damu zao. Tazama sura |
lakini jeshi lililotoka kaskazini nitaliondolea mbali nanyi, nami nitalifukuza mpaka nchi ya ukame na ukiwa; sehemu yake iliyo mbele itaingia katika bahari ya mashariki, na sehemu yake iliyo nyuma itaingia katika bahari ya magharibi; na uvundo wake utapanda juu, na harufu yake mbaya itapanda juu, kwa sababu ametenda mambo makubwa.