Isaya 34:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Miiba itamea majumbani mwake, upupu na mbigili ndani ya maboma yake; nayo itakuwa kao la mbweha, na ua la mbuni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Miiba itaota katika ngome zake, viwavi na michongoma mabomani mwao. Itakuwa makao ya mbwamwitu, maskani yao mbuni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Miiba itaota katika ngome zake, viwavi na michongoma mabomani mwao. Itakuwa makao ya mbwamwitu, maskani yao mbuni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Miiba itaota katika ngome zake, viwavi na michongoma mabomani mwao. Itakuwa makao ya mbwamwitu, maskani yao mbuni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Miiba itaenea katika ngome za ndani, viwawi na michongoma itaota kwenye ngome zake. Itakuwa maskani ya mbweha, makao ya bundi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Miiba itaenea katika ngome za ndani, viwawi na michongoma itaota kwenye ngome zake. Itakuwa maskani ya mbweha, makao ya bundi. Tazama sura |