Isaya 33:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Angalia, mashujaa wao wanalia nje, wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Haya, mashujaa wao wanalia, wajumbe wa amani wanaomboleza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Haya, mashujaa wao wanalia, wajumbe wa amani wanaomboleza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Haya, mashujaa wao wanalia, wajumbe wa amani wanaomboleza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Angalia, mashujaa wake wanapiga kelele barabarani, wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani, wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. Tazama sura |