Isaya 33:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Na mateka yako yatakukusanywa kama wadudu wakumbavyo, wataruka juu yake kama arukavyo nzige. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Maadui zao wanakusanya mateka, wanayarukia kama panzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Maadui zao wanakusanya mateka, wanayarukia kama panzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Maadui zao wanakusanya mateka, wanayarukia kama panzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mateka yenu, enyi mataifa, yamevunwa kama wafanyavyo madumadu, watu huvamia juu yake kama kundi la nzige. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mateka yenu, enyi mataifa, yamevunwa kama vile wafanyavyo madumadu, kama kundi la nzige watu huvamia juu yake. Tazama sura |