Isaya 32:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Mpumbavu hataitwa tena muungwana, wala mlaghai hataitwa kuwa ni mheshimiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Wapumbavu hawataitwa tena waungwana, wala walaghai hawataitwa tena waheshimiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Wapumbavu hawataitwa tena waungwana, wala walaghai hawataitwa tena waheshimiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Wapumbavu hawataitwa tena waungwana, wala walaghai hawataitwa tena waheshimiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mpumbavu hataitwa tena muungwana, wala mtu mbaya kabisa kupewa heshima ya juu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mpumbavu hataitwa tena muungwana, wala mtu mbaya kabisa kupewa heshima ya juu. Tazama sura |