Isaya 32:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Tena macho yao waonao hayatakuwa na kiwi, na masikio yao wasikiao yatasikiliza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Macho hayatafumbwa tena, masikio yatabaki wazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Macho hayatafumbwa tena, masikio yatabaki wazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Macho hayatafumbwa tena, masikio yatabaki wazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena, nayo masikio ya wale wanaosikia yatasikiliza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena, nayo masikio ya wale wanaosikia yatasikiliza. Tazama sura |