Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 32:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Heri ninyi mpandao mbegu kando ya maji yote, na kuiacha miguu ya ng'ombe na punda waende kokote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Lakini heri yenu nyinyi: Mtapanda mbegu zenu popote penye maji, ng'ombe na punda wenu watatembeatembea watakavyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Lakini heri yenu nyinyi: Mtapanda mbegu zenu popote penye maji, ng'ombe na punda wenu watatembeatembea watakavyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Lakini heri yenu nyinyi: mtapanda mbegu zenu popote penye maji, ng'ombe na punda wenu watatembeatembea watakavyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 tazama jinsi utakavyobarikiwa, ukipanda mbegu yako katika kila kijito, na kuwaacha ng’ombe wako na punda wajilishe kwa uhuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 tazama jinsi utakavyobarikiwa, ukipanda mbegu yako katika kila kijito, na kuwaacha ng’ombe wako na punda wajilishe kwa uhuru.

Tazama sura Nakili




Isaya 32:20
10 Marejeleo ya Msalaba  

Tupa chakula chako juu ya maji; Maana utakiona baada ya siku nyingi.


Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapatao elfu tatu.


Lakini wengi katika hao waliosikia lile neno waliamini; na hesabu ya wanaume ikawa kama elfu tano.


walioamini wakazidi kuongezeka kwa Bwana, wengi, wanaume na wanawake;


Mimi nilipanda, Apolo akatia maji; bali mwenye kukuza ni Mungu.


Na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo