Isaya 30:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Kwa ajili ya hayo BWANA atangoja, ili awaonee huruma, na kwa ajili ya hayo atatukuzwa, ili awarehemu; kwa maana BWANA ni Mungu wa hukumu; heri wote wamngojao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Hata hivyo, Mwenyezi-Mungu anangoja awafadhili, atainuka na kuwaonea huruma. Maana, Mwenyezi-Mungu ni Mungu atendaye haki. Heri wote wale wanaomtumainia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Hata hivyo, Mwenyezi-Mungu anangoja awafadhili, atainuka na kuwaonea huruma. Maana, Mwenyezi-Mungu ni Mungu atendaye haki. Heri wote wale wanaomtumainia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Hata hivyo, Mwenyezi-Mungu anangoja awafadhili, atainuka na kuwaonea huruma. Maana, Mwenyezi-Mungu ni Mungu atendaye haki. Heri wote wale wanaomtumainia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Hata hivyo Mwenyezi Mungu anatamani kutupatia neema, anainuka ili kuwaonesha huruma. Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni Mungu wa haki. Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Hata hivyo bwana anatamani kutupatia neema, anainuka ili kuwaonyesha huruma. Kwa kuwa bwana ni Mungu wa haki. Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye! Tazama sura |