Isaya 3:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 BWANA asimama ili atete, asimama ili awahukumu watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mwenyezi-Mungu yu tayari kuanza mashtaka, anasimama kuwahukumu watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mwenyezi-Mungu yu tayari kuanza mashtaka, anasimama kuwahukumu watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mwenyezi-Mungu yu tayari kuanza mashtaka, anasimama kuwahukumu watu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mwenyezi Mungu anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 bwana anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu. Tazama sura |