Isaya 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Waambieni wenye haki ya kuwa watakuwa heri, kwa maana watakula matunda ya matendo yao Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Waambieni waadilifu jinsi walivyo na bahati: Kwani watakula matunda ya matendo yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Waambieni waadilifu jinsi walivyo na bahati: Kwani watakula matunda ya matendo yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Waambieni waadilifu jinsi walivyo na bahati: kwani watakula matunda ya matendo yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. Tazama sura |