Isaya 29:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Lakini wingi wa adui zako utakuwa kama mavumbi laini, na wingi wao watishao utakuwa kama makapi yapitayo; naam, itakuwa mara na kwa ghafla. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kundi la maadui zako litakuwa kama vumbi laini, waliokutendea ukatili watakuwa kama makapi. Hayo yatafanyika ghafla. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kundi la maadui zako litakuwa kama vumbi laini, waliokutendea ukatili watakuwa kama makapi. Hayo yatafanyika ghafla. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kundi la maadui zako litakuwa kama vumbi laini, waliokutendea ukatili watakuwa kama makapi. Hayo yatafanyika ghafla. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini; makundi ya watu wakatili watakuwa kama makapi yanayopeperushwa. Naam, ghafula, mara moja, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini, kundi la wakatili watakuwa kama makapi yapeperushwayo. Naam, ghafula, mara moja, Tazama sura |