Isaya 29:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Hao nao wakosao rohoni mwao watapata kufahamu, na hao wanung'unikao watakubali mafunzo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Waliopotoka rohoni watapata maarifa na wenye kununa watakubali kufunzwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Waliopotoka rohoni watapata maarifa na wenye kununa watakubali kufunzwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Waliopotoka rohoni watapata maarifa na wenye kununa watakubali kufunzwa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Wale wanaopotoka rohoni watapata ufahamu, nao wale wanaolalamika watayakubali mafundisho.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Wale wanaopotoka rohoni watapata ufahamu, nao wale wanaolalamika watayakubali mafundisho.” Tazama sura |
Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimdunga; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.