Isaya 29:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Na katika siku hiyo viziwi watasikia maneno ya hicho kitabu, na macho ya vipofu yataona katika upofu na katika giza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Siku hiyo viziwi watasikia ujumbe ukisomwa kitabuni na kutoka gizani vipofu wataanza kuona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Siku hiyo viziwi watasikia ujumbe ukisomwa kitabuni na kutoka gizani vipofu wataanza kuona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Siku hiyo viziwi watasikia ujumbe ukisomwa kitabuni na kutoka gizani vipofu wataanza kuona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu, na katika utusitusi na giza macho ya kipofu yataona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu, na katika utusitusi na giza macho ya kipofu yataona. Tazama sura |