Isaya 28:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Maana meza zote zimejaa matapiko na uchafu, hapana mahali palipo safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Meza zote zimejawa na matapishi wala hakuna sehemu hata ndogo isiyokuwa na uchafu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Meza zote zimejawa na matapishi wala hakuna sehemu hata ndogo isiyokuwa na uchafu. Tazama sura |