Isaya 28:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Naye atakuwa roho ya hukumu ya haki kwake yeye aketiye ili ahukumu; naye atakuwa nguvu kwao walindao langoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Waamuzi mahakamani atawaongoza kutenda haki, nao walinzi wa mji atawapa nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Waamuzi mahakamani atawaongoza kutenda haki, nao walinzi wa mji atawapa nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Waamuzi mahakamani atawaongoza kutenda haki, nao walinzi wa mji atawapa nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Atakuwa roho ya haki kwa yeye anayeketi kwenye kiti cha hukumu, chanzo cha nguvu kwa wale wazuiao vita langoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Atakuwa roho ya haki kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, chanzo cha nguvu kwa wale wazuiao vita langoni. Tazama sura |