Isaya 28:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Katika siku ile BWANA wa majeshi atakuwa ni taji la fahari, na kilemba cha uzuri, kwa mabaki ya watu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Katika siku ile, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni atakuwa taji la utukufu, taji zuri la maua kwa mabaki ya watu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Katika siku ile, bwana Mwenye Nguvu Zote atakuwa taji la utukufu, taji zuri la maua kwa mabaki ya watu wake. Tazama sura |