Isaya 28:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Kwa maana Mungu wake anamwagiza vizuri na kumfundisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Mtu huyo huwa anajua la kufanya, kwa sababu Mungu wake humfundisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Mtu huyo huwa anajua la kufanya, kwa sababu Mungu wake humfundisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Mtu huyo huwa anajua la kufanya, kwa sababu Mungu wake humfundisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Mungu wake humwelekeza na kumfundisha njia iliyo sahihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Mungu wake humwelekeza na kumfundisha njia iliyo sahihi. Tazama sura |