Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 28:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Je! Mwenye kulima alima daima, ili apande? Afunua daima madongoa ya nchi yake, na kuyavunja?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Je, alimaye ili kupanda hulima tu? Je, huendelea kulima na kusawazisha shamba lake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Je, alimaye ili kupanda hulima tu? Je, huendelea kulima na kusawazisha shamba lake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Je, alimaye ili kupanda hulima tu? Je, huendelea kulima na kusawazisha shamba lake?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Mkulima anapolima ili apande, je, hulima siku zote? Je, huendelea kubomoa ardhi na kusawazisha udongo?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Wakati mkulima alimapo ili apande, je, hulima siku zote? Je, huendelea kubomoa ardhi na kusawazisha udongo?

Tazama sura Nakili




Isaya 28:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa; Wakati wa kupanda, na wakati wa kung'oa kilichopandwa;


Tegeni masikio, sikieni sauti yangu, sikilizeni mkasikie neno langu.


Akiisha kuulainisha uso wa nchi yake, je! Hamwagi huku na huko kunde, na kutupatupa jira, na kuitia ngano safu safu, na shayiri mahali pake palipochaguliwa, na kusemethi karibu na mipaka yake?


Maana BWANA awaambia hivi watu wa Yuda na Yerusalemu Ulimeni udongo katika konde zenu, wala msipande mbegu kati ya miiba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo