Isaya 28:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Basi, lisikieni neno la BWANA, enyi watu wenye dharau, mnaowatawala watu hawa walio ndani ya Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Basi, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wenye madharau mnaotawala watu wa Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Basi, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wenye madharau mnaotawala watu wa Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Basi, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wenye madharau mnaotawala watu wa Yerusalemu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kwa hiyo sikieni neno la Mwenyezi Mungu, enyi watu wenye dharau mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kwa hiyo sikieni neno la bwana, enyi watu wenye dharau mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu. Tazama sura |