Isaya 28:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 La, bali kwa midomo ya watu wageni, na kwa lugha nyingine atasema na watu hawa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Haya basi! Mwenyezi-Mungu ataongea na watu hawa kwa njia ya watu wa lugha tofauti wanaoongea lugha ngeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Haya basi! Mwenyezi-Mungu ataongea na watu hawa kwa njia ya watu wa lugha tofauti wanaoongea lugha ngeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Haya basi! Mwenyezi-Mungu ataongea na watu hawa kwa njia ya watu wa lugha tofauti wanaoongea lugha ngeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Sawa kabisa, kwa midomo migeni na kwa lugha ngeni, Mungu atasema na watu hawa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Sawa kabisa, kwa midomo migeni na kwa lugha ngeni, Mungu atasema na watu hawa, Tazama sura |