Isaya 27:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Je! Amempiga kama hilo pigo la hao waliompiga, au ameuawa kama walivyouawa wao waliouawa na yeye? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mungu hakuwaadhibu Waisraeli vikali kama alivyowaadhibu maadui wake; Waisraeli waliopotea vitani, ni wachache kuliko wale wa maadui zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mungu hakuwaadhibu Waisraeli vikali kama alivyowaadhibu maadui wake; Waisraeli waliopotea vitani, ni wachache kuliko wale wa maadui zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mungu hakuwaadhibu Waisraeli vikali kama alivyowaadhibu maadui wake; Waisraeli waliopotea vitani, ni wachache kuliko wale wa maadui zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Je, Mwenyezi Mungu amempiga vile alivyowapiga wale waliompiga? Je, yeye ameuawa vile walivyouawa wale waliomuua yeye? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Je, bwana amempiga vile alivyowapiga wale waliompiga? Je, yeye ameuawa vile walivyouawa wale waliomuua yeye? Tazama sura |