Isaya 26:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Naam, katika njia ya hukumu zako Sisi tumekungoja, Ee BWANA; Shauku ya nafsi zetu inaelekea Jina lako na ukumbusho wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Katika njia ya maamuzi yako tunakungojea ee Mwenyezi-Mungu; kulikumbuka jina lako ndiyo tamaa yetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Katika njia ya maamuzi yako tunakungojea ee Mwenyezi-Mungu; kulikumbuka jina lako ndiyo tamaa yetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Katika njia ya maamuzi yako tunakungojea ee Mwenyezi-Mungu; kulikumbuka jina lako ndiyo tamaa yetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Naam, Mwenyezi Mungu, tukienenda katika sheria zako, twakungojea wewe, jina lako na sifa zako ndizo shauku za mioyo yetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Naam, bwana, tukienenda katika sheria zako, twakungojea wewe, jina lako na sifa zako ndizo shauku za mioyo yetu. Tazama sura |