Isaya 25:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana BWANA amenena hayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Bwana Mungu atakiangamiza kifo milele! Atayafuta machozi katika nyuso za watu wote na kuwaondolea watu wake aibu duniani kote. Bwana Mwenyezi-Mungu ametamka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Bwana Mungu atakiangamiza kifo milele! Atayafuta machozi katika nyuso za watu wote na kuwaondolea watu wake aibu duniani kote. Bwana Mwenyezi-Mungu ametamka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Bwana Mungu atakiangamiza kifo milele! Atayafuta machozi katika nyuso za watu wote na kuwaondolea watu wake aibu duniani kote. Bwana Mwenyezi-Mungu ametamka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 yeye atameza mauti milele. Bwana Mungu Mwenyezi atafuta machozi katika nyuso zote; ataondoa aibu ya watu wake duniani kote. Mwenyezi Mungu amesema hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 yeye atameza mauti milele. bwana Mwenyezi atafuta machozi katika nyuso zote; ataondoa aibu ya watu wake duniani kote. bwana amesema hili. Tazama sura |