Isaya 25:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Na boma la ngome ya kuta zako ameliinamisha, na kulilaza chini, na kulitupa chini hadi mavumbini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Atayabomoa maboma ya miji ya Moabu yenye kuta ndefu na kuyabwaga chini mavumbini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Atayabomoa maboma ya miji ya Moabu yenye kuta ndefu na kuyabwaga chini mavumbini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Atayabomoa maboma ya miji ya Moabu yenye kuta ndefu na kuyabwaga chini mavumbini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Atabomoa kuta ndefu za ngome yako na kuziangusha chini, atazishusha chini ardhini, hadi mavumbini kabisa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Atabomoa kuta ndefu za maboma yako na kuziangusha chini, atazishusha chini ardhini, mpaka mavumbini kabisa. Tazama sura |