Isaya 24:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Tena itakuwa katika siku hiyo, BWANA ataliadhibu jeshi la mahali palipo juu katika mahali palipo juu, na wafalme wa dunia katika dunia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Siku ile Mwenyezi-Mungu ataliadhibu jeshi la angani kadhalika na wafalme wa duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Siku ile Mwenyezi-Mungu ataliadhibu jeshi la angani kadhalika na wafalme wa duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Siku ile Mwenyezi-Mungu ataliadhibu jeshi la angani kadhalika na wafalme wa duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Katika siku ile Mwenyezi Mungu ataadhibu mamlaka zilizo juu mbinguni, na wafalme walio chini duniani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Katika siku ile bwana ataadhibu nguvu zilizoko mbinguni juu, na wafalme walioko duniani chini. Tazama sura |