Isaya 24:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Mji wa machafuko umebomolewa; kila nyumba imefungwa, asipate kuingia mtu awaye yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mji uliohamwa umejaa uharibifu; kila nyumba imefungwa asiingie mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mji uliohamwa umejaa uharibifu; kila nyumba imefungwa asiingie mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mji uliohamwa umejaa uharibifu; kila nyumba imefungwa asiingie mtu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa, mlango wa kila nyumba umefungwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa, mlango wa kila nyumba umefungwa. Tazama sura |