Isaya 23:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 BWANA wa majeshi ndiye aliyefanya shauri hili, ili kuharibu kiburi cha utukufu wote, na kuwaaibisha watu wa duniani wote pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Yeye ndiye aliyeyapanga haya yote. Alifanya hivyo akiharibu kiburi chao na kuwaaibisha waheshimiwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Yeye ndiye aliyeyapanga haya yote. Alifanya hivyo akiharibu kiburi chao na kuwaaibisha waheshimiwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Yeye ndiye aliyeyapanga haya yote. Alifanya hivyo akiharibu kiburi chao na kuwaaibisha waheshimiwa wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndiye alipanga jambo hili, ili kukishusha kiburi cha utukufu wote na kuwanyenyekeza wale wote ambao ni mashuhuri duniani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye alipanga jambo hili, ili kukishusha kiburi cha utukufu wote na kuwanyenyekesha wale wote ambao ni mashuhuri duniani. Tazama sura |