Isaya 23:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Piteni mpaka Tarshishi, enyi mkaao kisiwani, toeni sauti ya uchungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ombolezeni enyi wenyeji wa Foinike! Jaribuni kukimbilia Tarshishi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ombolezeni enyi wenyeji wa Foinike! Jaribuni kukimbilia Tarshishi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ombolezeni enyi wenyeji wa Foinike! Jaribuni kukimbilia Tarshishi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Vukeni hadi Tarshishi, ombolezeni, enyi watu wa kisiwani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Vukeni mpaka Tarshishi, ombolezeni, enyi watu wa kisiwani. Tazama sura |