Isaya 23:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Pita katika nchi yako, kama Nile, Ee binti wa Tarshishi, hapana tena mshipi wa kukuzuia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Limeni sasa ardhi yenu enyi wakazi wa Tarshishi; maana hamna tena bandari kwa ajili ya meli kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Limeni sasa ardhi yenu enyi wakazi wa Tarshishi; maana hamna tena bandari kwa ajili ya meli kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Limeni sasa ardhi yenu enyi wakazi wa Tarshishi; maana hamna tena bandari kwa ajili ya meli kubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ee Binti Tarshishi, pita katika nchi yako kama vile Mto Naili kwa kuwa huna tena bandari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ee Binti Tarshishi, pita katika nchi yako kama vile Mto Naili kwa kuwa huna tena bandari. Tazama sura |