Isaya 22:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Na Elamu wameshika podo, pamoja na magari ya vita, na watu wenye kupanda farasi; na Kiri wameifunua ngao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Majeshi ya Elamu, pinde na mishale mikononi, walikuja wamepanda farasi na magari ya vita; nalo jeshi la Kiri lilitayarisha ngao zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Majeshi ya Elamu, pinde na mishale mikononi, walikuja wamepanda farasi na magari ya vita; nalo jeshi la Kiri lilitayarisha ngao zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Majeshi ya Elamu, pinde na mishale mikononi, walikuja wamepanda farasi na magari ya vita; nalo jeshi la Kiri lilitayarisha ngao zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Elamu analichukua podo, pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. Kiri anaifungua ngao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Elamu analichukua podo, pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. Kiri anaifungua ngao. Tazama sura |