Isaya 22:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 na kumbe! Furaha, na kuchekelea, na kuchinja ng'ombe, na kuchinja kondoo, na kula nyama, na kunywa mvinyo; tule, tunywe, kwa maana kesho tutakufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Lakini nyinyi mkafurahi na kusherehekea. Mlichinja ng'ombe na kondoo, mkala nyama na kunywa divai. Nyinyi mlisema: “Acha tule na kunywa maana kesho tutakufa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Lakini nyinyi mkafurahi na kusherehekea. Mlichinja ng'ombe na kondoo, mkala nyama na kunywa divai. Nyinyi mlisema: “Acha tule na kunywa maana kesho tutakufa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Lakini nyinyi mkafurahi na kusherehekea. Mlichinja ng'ombe na kondoo, mkala nyama na kunywa divai. Nyinyi mlisema: “Acha tule na kunywa maana kesho tutakufa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Lakini tazama, kuna furaha na sherehe, kuchinja ng’ombe na kuchinja kondoo, kula nyama na kunywa mvinyo! Mnasema, “Tuleni na kunywa, kwa kuwa kesho tutakufa!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Lakini tazama, kuna furaha na sherehe, kuchinja ng’ombe na kuchinja kondoo, kula nyama na kunywa mvinyo! Mnasema, “Tuleni na kunywa, kwa kuwa kesho tutakufa!” Tazama sura |