Isaya 22:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Siku hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, akawaita watu walie na kuomboleza, na kung'oa nywele zao, na kuvaa nguo za magunia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu, wa majeshi aliwataka mlie na kuomboleza, mnyoe nywele na kuvaa mavazi ya gunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu, wa majeshi aliwataka mlie na kuomboleza, mnyoe nywele na kuvaa mavazi ya gunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu, wa majeshi aliwataka mlie na kuomboleza, mnyoe nywele na kuvaa mavazi ya gunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, aliwaita siku ile ili kulia na kuomboleza, kung’oa nywele zenu na kuvaa magunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote, aliwaita siku ile ili kulia na kuomboleza, kung’oa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. Tazama sura |