Isaya 21:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana BWANA, Mungu wa Israeli, amenena neno hili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Wapiga upinde wachache kati ya mashujaa wa watu wa Kedari ndio watakaosalia. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nimenena.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Wapiga upinde wachache kati ya mashujaa wa watu wa Kedari ndio watakaosalia. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nimenena.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Wapiga upinde wachache kati ya mashujaa wa watu wa Kedari ndio watakaosalia. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nimenena.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wanaume wavutao pinde walionusurika, mashujaa wa Kedari, watakuwa wachache.” Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, amesema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wanaume wavutao pinde walionusurika, mashujaa wa Kedari, watakuwa wachache.” bwana, Mungu wa Israeli, amesema. Tazama sura |