Isaya 2:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Mwacheni mwanadamu ambaye pumzi yake iko katika mianzi ya pua yake; kwa maana wanafaa kitu gani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Usimwamini binadamu, uhai wake haudumu kama pumzi. Yeye anafaa kitu gani? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Usimwamini binadamu, uhai wake haudumu kama pumzi. Yeye anafaa kitu gani? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Usimwamini binadamu, uhai wake haudumu kama pumzi. Yeye anafaa kitu gani? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Acheni kumtumainia mwanadamu, ambaye hana kitu ila pumzi katika pua zake. Yeye ana thamani gani? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Acheni kumtumainia mwanadamu, ambaye hana kitu ila pumzi katika pua zake. Yeye ana thamani gani? Tazama sura |