Isaya 2:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Siku hiyo kila mtu atazitupilia mbali sanamu zake za fedha, na sanamu zake za dhahabu, walizojitengenezea ili kuziabudu, kwa fuko na popo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Siku hiyo, watu watawatupia panya na popo vinyago vyao vya fedha na dhahabu walivyojitengenezea ili kuviabudu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Siku hiyo, watu watawatupia panya na popo vinyago vyao vya fedha na dhahabu walivyojitengenezea ili kuviabudu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Siku hiyo, watu watawatupia panya na popo vinyago vyao vya fedha na dhahabu walivyojitengenezea ili kuviabudu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Siku ile, watu watawatupia panya na popo sanamu zao za fedha na za dhahabu, walizozitengeneza ili waziabudu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Siku ile, watu watawatupia panya na popo sanamu zao za fedha na za dhahabu, walizozitengeneza ili waziabudu. Tazama sura |