Isaya 2:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Na juu ya mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu na kuinuka, na juu ya mialoni yote ya Bashani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 dhidi ya mierezi yote ya Lebanoni, ambayo ni mirefu na mizuri, dhidi ya mialoni yote nchini Bashani; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 dhidi ya mierezi yote ya Lebanoni, ambayo ni mirefu na mizuri, dhidi ya mialoni yote nchini Bashani; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 dhidi ya mierezi yote ya Lebanoni, ambayo ni mirefu na mizuri, dhidi ya mialoni yote nchini Bashani; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, na mialoni yote ya Bashani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, na mialoni yote ya Bashani, Tazama sura |
Umemshutumu Bwana kwa watumishi wako, kwa kuwa umesema, Kwa wingi wa magari yangu nimepanda juu ya vilele vya milima, mpaka mahali pa ndani ya Lebanoni; nami nitaikata mierezi yake mirefu, na misonobari yake mizuri, nami nitaingia ndani ya mahali pake palipoinuka, palipo mbali sana, msitu wa shamba lake lizaalo sana.