Isaya 19:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Na wavuvi wataugua, na wote wavuao kwa ndoana watahuzunika, nao watandao jarife juu ya maji watazimia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watumiao ndoana watalalama; wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watumiao ndoana watalalama; wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watumiao ndoana watalalama; wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watupao ndoana katika Mto Naili, na watupao nyavu katika maji watadhoofika kwa majonzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Wavuvi watalia na kuomboleza, wale wote watupao ndoano katika Mto Naili, watadhoofika kwa majonzi. Tazama sura |