Isaya 19:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nami nitawatoa hao Wamisri na kuwatia katika mikono ya bwana mgumu; na mfalme mkali atawatawala; asema Bwana, BWANA wa majeshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana katili, mfalme mkali ambaye atawatawala. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nimenena.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana katili, mfalme mkali ambaye atawatawala. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nimenena.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana katili, mfalme mkali ambaye atawatawala. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nimenena.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana mkatili na mfalme mkali atawatawala,” asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana mkatili na mfalme mkali atatawala juu yao,” asema Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote. Tazama sura |