Isaya 19:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Wako wapi, basi, watu wako wenye hekima? Na wakuambie sasa; na wajue mambo aliyokusudia BWANA wa majeshi juu ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wako wapi, ewe Farao, wataalamu wako? Waache basi wakuambie na kukujulisha aliyopanga Mwenyezi-Mungu wa majeshi dhidi ya Misri! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wako wapi, ewe Farao, wataalamu wako? Waache basi wakuambie na kukujulisha aliyopanga Mwenyezi-Mungu wa majeshi dhidi ya Misri! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wako wapi, ewe Farao, wataalamu wako? Waache basi wakuambie na kukujulisha aliyopanga Mwenyezi-Mungu wa majeshi dhidi ya Misri! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wako wapi sasa watu wako wenye hekima? Wao wakuoneshe na kukufahamisha ni nini Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni amepanga dhidi ya Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wako wapi sasa watu wako wenye hekima? Wao wakuonyeshe na kukufahamisha ni nini bwana Mwenye Nguvu Zote amepanga dhidi ya Misri. Tazama sura |