Isaya 17:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ufunuo juu ya Dameski. Tazama, Dameski umeondolewa usiwe mji, nao utakuwa rundo la magofu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Kauli ya Mungu dhidi ya Damasko. “Damasko utakoma kuwa mji; utakuwa rundo la magofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Kauli ya Mungu dhidi ya Damasko. “Damasko utakoma kuwa mji; utakuwa rundo la magofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Kauli ya Mungu dhidi ya Damasko. “Damasko utakoma kuwa mji; utakuwa rundo la magofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Neno la unabii kuhusu Dameski: “Tazama, Dameski haitakuwa tena mji bali itakuwa lundo la magofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Neno kuhusu Dameski: “Tazama, Dameski haitakuwa tena mji bali itakuwa lundo la magofu. Tazama sura |