Isaya 14:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Wafalme wote wa mataifa wamezikwa wote kwa heshima, Kila mmoja ndani ya nyumba yake mwenyewe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Wafalme wote wa mataifa wamezikwa kwa heshima kila mmoja ndani ya kaburi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Wafalme wote wa mataifa wamezikwa kwa heshima kila mmoja ndani ya kaburi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Wafalme wote wa mataifa wamezikwa kwa heshima kila mmoja ndani ya kaburi lake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima kila mmoja katika kaburi lake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima kila mmoja katika kaburi lake. Tazama sura |