Isaya 14:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Aliyeufanya ulimwengu ukiwa, akaipindua miji yake; Asiyewafungua wafungwa wake waende kwao? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 aliyegeuza dunia kuwa kama jangwa, akaangamiza miji yake, na kuwanyima wafungwa wake kurudi kwao?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 aliyegeuza dunia kuwa kama jangwa, akaangamiza miji yake, na kuwanyima wafungwa wake kurudi kwao?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 aliyegeuza dunia kuwa kama jangwa, akaangamiza miji yake, na kuwanyima wafungwa wake kurudi kwao?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 yule aliyeifanya dunia kuwa jangwa, aliyeipindua miji yake, na ambaye hakuwaachia mateka wake waende nyumbani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 yule aliyeifanya dunia kuwa jangwa, aliyeipindua miji yake, na ambaye hakuwaachia mateka wake waende nyumbani?” Tazama sura |