Isaya 13:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 watu waliotoka katika nchi iliyo mbali, tokea upande wa mwisho wa mbingu; naam, BWANA na silaha za ghadhabu yake, ili aiangamize nchi yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Wanakuja kutoka nchi za mbali, wanatoka hata miisho ya dunia: Mwenyezi-Mungu na silaha za hasira yake anakuja kuiangamiza dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Wanakuja kutoka nchi za mbali, wanatoka hata miisho ya dunia: Mwenyezi-Mungu na silaha za hasira yake anakuja kuiangamiza dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Wanakuja kutoka nchi za mbali, wanatoka hata miisho ya dunia: Mwenyezi-Mungu na silaha za hasira yake anakuja kuiangamiza dunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wanakuja kutoka nchi za mbali sana, kutoka miisho ya mbingu, Mwenyezi Mungu na silaha za ghadhabu yake, kuangamiza nchi yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wanakuja kutoka nchi za mbali sana, kutoka miisho ya mbingu, bwana na silaha za ghadhabu yake, kuangamiza nchi yote. Tazama sura |